March 6, 2024

Day

Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Profesa Josiah Katani, Awapongeza Wanawake Katika Siku ya Wanawake Duniani. Dunia inaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi kila mwaka. Siku hii ni muhimu kwa kutambua mchango wa wanawake katika jamii na kuhamasisha usawa wa kijinsia. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Profesa Josiah Katani, ameungana na jamii...
Read More