December 3, 2024

Day

Katika picha mwenye tai nyekundu: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Prof. Raphael Chibunda, akitoa maelezo kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mh. Mwanamvua Hoza Mrindo, na wageni mbalimbali walioudhuria sherehe hizo katika hafla ya utiaji saini wa ujenzi wa majengo mapya ya Kampasi ya Mizengo Pinda na Kampuni...
Read More