Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kampasi ya Mizengo Pinda, Ndg. Joseph Oswald Ruboha, akitoa mada ya mafanikio ya elimu na kilimo ndani ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania iliyobeba kauli mbiu “Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji wa Wananchi ni Msingi wa Maendeleo Yetu”. Katika mdahaloKuongezeka kwa uzalishaji wa mazao ya chakula...Read More