Annan Bally

By

Katika picha, aliyeshika chupa za asali ni Dwasi Denis Johnson, mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Awali ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Anatumia ujasiriamali wa bidhaa zitokanazo na rasilimali nyuki, kama asali ya nyuki wakubwa na wadogo, katika maonesho ya Wiki ya Mwanakatavi ambayo hufanyika kila mwaka mkoani Katavi. Maonesho haya yana lengo la kuwakutanisha...
Read More
Kaimu Rasi wa Ndaki, Prof. Anna Sikira, amewahimiza wanachuo wapya kujitambua na kufahamu kwamba lengo kuu la kuja katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ni kusoma. Alisisitiza umuhimu wa kujituma katika masomo na kushirikiana ili kufanikisha malengo yao ya kitaaluma wakati wa semina ya ukaribisho Kaimu Rasi wa Ndaki (Prof. Sikira) akitoa mwongozo kwa...
Read More
Katika hatua ya kipekee ya kushirikiana kwa maendeleo ya jamii, Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)  kimeungana na Halmashauri ya Mpimbwe kuboresha elimu na utafiti katika sekta ya kilimo. Ushirikiano huu unalenga kuimarisha uchumi wa nchi na kutoa msaada wa kitaalamu kwa wakulima na wafugaji wa eneo hilo. SUA, chuo kinachojulikana kwa kutoa wataalamu...
Read More
Uteuzi wa Prof. Jeremia R. Makindara kuwa Kaimu Naibu Rasi wa Ndaki ya Kampasi ya Mizengo Pinda (Utawala na Fedha)
Read More
Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ilishiriki kwa mafanikio katika maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani yaliyofanyika mkoani Dodoma, yakiwa yamefungwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, tarehe 20 Mei 2024.   Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Read More
  William Cosmas Bulongo, Chairperson of the Sokoine University of Agriculture Student Organisation (SUASO), Mizengo Pinda Campus, recently presented study benches to the Mizengo Pinda Campus Board. This donation highlights the student body’s commitment to improving campus facilities and supporting the university’s development. These study benches represent the collaborative spirit between students and the university...
Read More
Mafunzo ya kipekee yaliyofanyika katika Kampasi ya Mizengo Pinda yameleta mwanga mpya kwa wafanyakazi. Mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Naibu Rais Mipango, Utawala na Fedha, yalilenga kuwajengea uwezo wafanyakazi katika ujazaji wa Mfumo wa Taarifa za Utendaji Kazi na Usimamizi wa Wafanyakazi wa Umma (PEPMIS). Afisa Tawala Mkuu, Ndugu Holymisidasi Njungani, aliongoza mafunzo hayo,...
Read More
1 2