SUA na Halmashauri ya Mpimbwe Waadhimisha Siku ya Wanawake, Profesa Sikira Atoa Wito wa Elimu na Utunzaji wa Mazingira Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) iliungana na wanawake wa Halmashauri ya Mpimbwe katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani. Tukio hili lililenga kusherehekea mafanikio ya wanawake na kuhamasisha umoja katika...Read More
Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Profesa Josiah Katani, Awapongeza Wanawake Katika Siku ya Wanawake Duniani. Dunia inaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi kila mwaka. Siku hii ni muhimu kwa kutambua mchango wa wanawake katika jamii na kuhamasisha usawa wa kijinsia. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Profesa Josiah Katani, ameungana na jamii...Read More
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, kipo katika hatua ya kuboresha mitaala ya Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki na Stashahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Ili kuhakikisha mafanikio ya mchakato huu, chuo kilifanikiwa kuandaa warsha muhimu na wadau wa elimu Mkoani Tabora tarehe 22.12.2023. Lengo...Read More
The Mizengo Pinda Campus shone brightly at the 42nd Sokoine University of Agriculture (SUA) Graduation Ceremony on Thursday, November 23rd, 2023, at the Edward Moringe Campus in Morogoro. The ceremony saw the Chancellor of SUA, Hon. (Rtd.) Justice Joseph Sinde Warioba confer the degree and non-degree awards to a graduating class filled with talented and...Read More
Vaileth Franc Chiwango, mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki kutoka Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), ameshinda tuzo ya Mwanafunzi Bora wa Jumla wa chuo hicho katika sherehe za arobaini za tuzo za mwaka 2023 zilizofanyika tarehe 21 Novemba 2023. Sherehe hizo zilihudhuriwa na mgeni...Read More
On November 10th, 2023, Mizengo Pinda Campus staff participated in a training session on utilizing a novel digital system to manage their personal employment data. This system, called Employee Self-Service (ESS), allows staff members to access, review, and update information related to their employment, including their details, pay slips, and benefits. In addition, ESS allows...Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda, amefanya ziara ya kutembelea Kampasi ya Mizengo Pinda. Lengo kuu la ziara hiyo likiwa ni kusikiliza kero, kushughulikia changamoto za watumishi, na kutathimini maeneo ambayo yatajengwa majengo mapya matatu kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Majengo hayo ni...Read More