Prof Adolf Mkenda akisaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane Prof Adolf Mkenda akipokea maelezo kutoka kwa Ndugu Naftari Leha ambaye ni Mwanafunzi anayetarajia kuhitimu mwaka huu katika Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki katika Chuo Kikuu cha Sokoine...Read More
Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mhe. Solomoni Itunda ambaye amepata fursa ya kujionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Kampasi ya Mizengo Pinda kutokana na shughuli za ufugaji wa nyuki na kilimo. Mhe. Solomoni Itunda akisalimiana na Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu...Read More
Wananchi waendelea kujitokeza kwa wingi kujifunza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya Wananchi wakiendelea kujitokeza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika...Read More
Dr. Florens Turuka amefurahishwa na shughuli zinazoendelea katika banda na kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo na ametoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayafanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Thelathini ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya. Dr. Florens Turuka akisaini kitabu cha...Read More
Hayo yamebainishwa na Mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda ndugu Evaristus Magani katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.Read More
Mkuu wa Mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko alipata fursa ya kuoneshwa Aina Anuai za Nyuki wanaopatikana Tanzania alipotembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.Read More
Katika banda hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipata nafasi ya kuona na kupata maelezo juu ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo ikiwemo mafuta ya alizeti na asali na mara baada ya kupatiwa maelezo juu ya bidhaa hizo, Mhe. Mrindoko alizawadiwa mafuta ya alizeti. Mhe. Mwanamvua Mrindoko akipokea zawadi ya mafuta ya alizeti kutoka Kwa...Read More
Zoezi la upimaji wa usikivu liliratibiwa na Watalamu kutoka Kitengo cha Elimu Jumuishi na Mahitaji Maalum wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chini ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Mtaalamu wa afy ya masikio Mr Lukonge John akimfanyia vipimo Prof Josiah Katani katika zoezi la upimaji wa usikivu wa...Read More
Semina iliyolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kuwatambua watu wenye mahitaji maalum na namna ya kuwahudumia katika kufanikisha utoaji wa elimu jumuishi iliendeshwa na wataalamu mbalimbali wakiongozwa na Dr Thabita Lupesa ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Elimu Jumuishi na Mahitaji Maalum wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chini ya Mradi wa Elimu ya...Read More
Hafra fupi ya kuwaapisha viongozi wapya wa Serikali ya wanafunzi kampasi ya Mizengo Pinda iliongozwa na Prof Anna Sikira (Naibu Rasi Taaluma Kampasi ya Mizengo Pinda). Mara baada ya zoezi la kuwaapisha viongozi hao, Prof Sikira alipata wasaa wa kutoa nasaha fupi kwa viongozi wote waliokula kiapo cha uongozi, ambapo amewataka viongozi walioapishwa kuiongoza Serikali...Read More