Wananchi waendelea kujitokeza kwa wingi kujifunza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya
Wananchi wakiendelea kujitokeza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya
Wananchi wakiendelea kujifunza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya