Katika picha, aliyeshika chupa za asali ni Dwasi Denis Johnson, mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Awali ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Anatumia ujasiriamali wa bidhaa zitokanazo na rasilimali nyuki, […]
Kaimu Rasi wa Ndaki, Prof. Anna Sikira, amewahimiza wanachuo wapya kujitambua na kufahamu kwamba lengo kuu la kuja katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ni kusoma. Alisisitiza umuhimu wa […]
Katika hatua ya kipekee ya kushirikiana kwa maendeleo ya jamii, Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kimeungana na Halmashauri ya Mpimbwe kuboresha elimu na utafiti katika sekta ya kilimo. […]
Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ilishiriki kwa mafanikio katika maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani yaliyofanyika mkoani Dodoma, yakiwa yamefungwa na Makamu wa […]
William Cosmas Bulongo, Chairperson of the Sokoine University of Agriculture Student Organisation (SUASO), Mizengo Pinda Campus, recently presented study benches to the Mizengo Pinda Campus Board. This donation highlights […]
Mafunzo ya kipekee yaliyofanyika katika Kampasi ya Mizengo Pinda yameleta mwanga mpya kwa wafanyakazi. Mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Naibu Rais Mipango, Utawala na Fedha, yalilenga kuwajengea uwezo wafanyakazi […]