Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mhe. Solomoni Itunda ambaye amepata fursa ya kujionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Kampasi ya Mizengo Pinda kutokana na shughuli za […]
Wananchi waendelea kujitokeza kwa wingi kujifunza katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale […]
Dr. Florens Turuka amefurahishwa na shughuli zinazoendelea katika banda na kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo na ametoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayafanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha […]
Hayo yamebainishwa na Mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda ndugu Evaristus Magani katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale […]
Mkuu wa Mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko alipata fursa ya kuoneshwa Aina Anuai za Nyuki wanaopatikana Tanzania alipotembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo […]
Katika banda hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipata nafasi ya kuona na kupata maelezo juu ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo ikiwemo mafuta ya alizeti na asali na mara […]
Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA), Kampasi Ya Mizengo Pinda Inawakaribisha Watu Wote Kutembelea Mabanda Ya Chuo Katika Maonesho Ya Thelathini Ya Wakulima, Wafugaji Na Wavuvi (NANE NANE) Yanayo […]
Zoezi la upimaji wa usikivu liliratibiwa na Watalamu kutoka Kitengo cha Elimu Jumuishi na Mahitaji Maalum wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chini ya Mradi wa Elimu ya Juu […]
Semina iliyolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kuwatambua watu wenye mahitaji maalum na namna ya kuwahudumia katika kufanikisha utoaji wa elimu jumuishi iliendeshwa na wataalamu mbalimbali wakiongozwa na Dr Thabita […]
Hafra fupi ya kuwaapisha viongozi wapya wa Serikali ya wanafunzi kampasi ya Mizengo Pinda iliongozwa na Prof Anna Sikira (Naibu Rasi Taaluma Kampasi ya Mizengo Pinda). Mara baada ya zoezi […]