TO ESTEEM EMPLOYERS OF SUA GRADUATES! Kindly complete this questionnaire accurately and truthfully. Your responses will be used for research purposes to assess employability and eventually improve the curriculum of the programs […]
Madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wamefanya ziara fupi katika Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Katika ziara hiyo, madiwani hao waliongozana na mwenyekiti […]
BSc Bee Resources Management third-year students kindly find the attached document for Research project I and II supervision for academic year 2022/2023. It is advised to form a group of […]
Prof. Chibunda amewataka watumishi wa Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda kufanyakazi kwa ushirikiano ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika kampasi hiyo. Aliyasema hayo alipofanya […]
Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda, amewataka wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda kutumia vyema Elimu wanayoipata ili waweze kukabiliana na changamoto ya ajira […]
The orientation week started on Monday October 24, 2022 with students receiving orientation seminars on various topics such as sexual corruption, citizenship, and respect for the country’s constitution and laws […]
Rasi wa Ndaki ya Mizengo Pinda Prof Josiah Katani awataka wakuu wa idara kutimiza wajibu wao. Ameyasema hayo wakati akipokea taarifa za utendaji kazi kutoka katika idara za Uendeshaji na […]
Timu ya Watumishi wa Kampasi ya Mizengo Pinda yatinga hatua ya fainali ya michuano ya VC CUP baada ya kuitoa timu ya Watumishi wa Tanesco Kibaoni kwa mikwaju ya penati. […]
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Techknolojia, Mh. Omary Juma Kipanga akiteta jambo na mwenyeji wake Rasi wa Ndaki ya Mizengo Pinda, Prof Josiah Katani na mkuu wa wilaya ya […]