Latest News

Category

Hayo yamebainishwa na Mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda ndugu Evaristus Magani katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.
Read More
Mkuu wa Mkoa wa katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko  alipata fursa ya kuoneshwa Aina Anuai za Nyuki wanaopatikana Tanzania alipotembelea banda la chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.
Read More
Katika banda hilo, Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipata nafasi ya kuona na kupata maelezo juu ya  bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo ikiwemo mafuta ya alizeti na asali na mara baada ya kupatiwa maelezo juu ya bidhaa hizo, Mhe. Mrindoko alizawadiwa mafuta ya alizeti. Mhe. Mwanamvua Mrindoko akipokea zawadi ya mafuta ya alizeti kutoka Kwa...
Read More
Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA), Kampasi Ya Mizengo Pinda Inawakaribisha Watu Wote Kutembelea Mabanda Ya Chuo Katika Maonesho Ya Thelathini Ya Wakulima, Wafugaji Na Wavuvi (NANE NANE)   Yanayo Fanyika Kitaifa  Katika Viwanja Vya John Mwakangale Jijini Mbeya Kuanzia Tarehe 01/08/2023 Wote Mnakaribishwa.            
Read More
Zoezi la upimaji wa usikivu liliratibiwa na Watalamu kutoka Kitengo cha Elimu Jumuishi na Mahitaji Maalum wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chini ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Mtaalamu wa afy ya masikio Mr Lukonge John akimfanyia vipimo Prof Josiah Katani katika zoezi la upimaji wa usikivu wa...
Read More
Semina iliyolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kuwatambua watu wenye mahitaji maalum na namna ya kuwahudumia katika kufanikisha utoaji wa elimu jumuishi iliendeshwa na wataalamu mbalimbali wakiongozwa na Dr Thabita Lupesa ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Elimu Jumuishi na Mahitaji Maalum wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chini ya Mradi wa Elimu ya...
Read More
Hafra fupi ya kuwaapisha viongozi wapya wa Serikali ya wanafunzi kampasi ya Mizengo Pinda iliongozwa na Prof Anna Sikira (Naibu Rasi Taaluma Kampasi ya Mizengo Pinda). Mara baada ya zoezi la kuwaapisha viongozi hao, Prof Sikira alipata wasaa wa kutoa nasaha fupi kwa viongozi wote waliokula kiapo cha uongozi, ambapo amewataka viongozi walioapishwa  kuiongoza Serikali...
Read More
Herbaria Preparation
First year students pursuing a Bachelor of Science in Bee Resources Management at Sokoine University of Agriculture, Mizengo Pinda Campus, got an opportunity to visit the Uluguru Mountains. This is part of their Field Practical Training which allows them to put their knowledge and skills into practice in a real-world environment. The practical sessions included...
Read More
Maadhimisho ya siku ya nyuki duniani yalifanyika kitaifa mkoani Singida, katika viwanja vya Bombadia yakiambatana na maonesho yaliyoana Mei 18 - 21, 2023
Read More
Beekeeping is essential to sustainable agriculture, as it helps pollinate crops and increase yields. The study of beekeeping for crop scientists is a crucial skill for diversifying activities, generating additional sources of income, and opening up self-employment opportunities in agriculture. It provides an excellent opportunity for risk management as it diversifies income streams, reduces the...
Read More
1 2 3 4 5 6 7