Katika zoezi hilo, Prof. Katani aliambatana na Naibu Rasi wa Ndaki Mipango, Utawala na Fedha Prof. Jeremia Makindara, Bwana Shamba wa Kamapasi ya Mizengo Pinda ndugu Tambalu Alphonsi pamoja na Mhadhiri Msaidizi katika fani ya Misitu ndugu Evaristus Magani. Ukaguzi huo ulilenga kuangalia namna bora ya uboreshwaji wa uwekaji wa mabango ya makatazo ya uingizwaji...Read More
To capacitate students with practical skills of solving problems using scientific procedures and research ethics, students are assessed their ability and understanding on subject matter planned for research. The current intake has focused their research in bee resources commercialization, the interaction of human and natural resources, science of different organisms including insects, plants and animals....Read More
Prof John Jeckoniah, Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa wafanyakazi na wawakilishi wa wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Mtaalamu wa masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) Prof John Jeckoniah...Read More
Suala hilo limewekwa wazi na Mh Nape Nnauye, Mbunge na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliyowasilishwa kwake katika taarifa fupi ya kampasi ya Mizengo Pinda iliyowasilishwa kwake na Rasi wa Kampasi Prof Josia Katani. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Prof. Josiah Katani akitoa taarifa fupi...Read More
Kuwepo kwa Kampasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi kumesaidia kuwafikia Wafugaji wa Nyuki ili kutoa elimu ya namna bora ya ufugaji wenye kuleta tija tofauti na ilivyokuwa awali kwani wakulima wengi wamekuwa wakifuga bila kuzingatia taratibu muhimu na kukosa uelewa juu ya mazao mengine yatokanayo na nyuki mbali na asali. Read More From the following...Read More
Madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wamefanya ziara fupi katika Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Katika ziara hiyo, madiwani hao waliongozana na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo pamoja na mwenyeji wao mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mh. Silas Ilumba na mkurugenzi wa Halmashauri ya...Read More
Prof. Chibunda amewataka watumishi wa Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda kufanyakazi kwa ushirikiano ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika kampasi hiyo. Aliyasema hayo alipofanya ziara ya kikazi ya siku mbili katika Kampasi ya Mizengo Pinda Novemba 7 – 8, 2022. Katika ziara hiyo, Prof. Chibunda alipokea ripoti ya utekelezaji...Read More
Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda, amewataka wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda kutumia vyema Elimu wanayoipata ili waweze kukabiliana na changamoto ya ajira kwa kujiunga na kujisajili katika vikundi ili waweze kupata pesa na kuendesha miradi ya ujasiriamali kama ufugaji wa nyuki, kutoa elimu kwa jamii juu ya...Read More