Prof John Jeckoniah, Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa wafanyakazi na wawakilishi wa wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Mtaalamu wa masuala ya Jinsia kwenye Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) Prof John Jeckoniah...Read More
Suala hilo limewekwa wazi na Mh Nape Nnauye, Mbunge na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliyowasilishwa kwake katika taarifa fupi ya kampasi ya Mizengo Pinda iliyowasilishwa kwake na Rasi wa Kampasi Prof Josia Katani. Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda, Prof. Josiah Katani akitoa taarifa fupi...Read More
Kuwepo kwa Kampasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi kumesaidia kuwafikia Wafugaji wa Nyuki ili kutoa elimu ya namna bora ya ufugaji wenye kuleta tija tofauti na ilivyokuwa awali kwani wakulima wengi wamekuwa wakifuga bila kuzingatia taratibu muhimu na kukosa uelewa juu ya mazao mengine yatokanayo na nyuki mbali na asali. Read More From the following...Read More
Madiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wamefanya ziara fupi katika Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Katika ziara hiyo, madiwani hao waliongozana na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo pamoja na mwenyeji wao mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mh. Silas Ilumba na mkurugenzi wa Halmashauri ya...Read More
Prof. Chibunda amewataka watumishi wa Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda kufanyakazi kwa ushirikiano ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi katika kampasi hiyo. Aliyasema hayo alipofanya ziara ya kikazi ya siku mbili katika Kampasi ya Mizengo Pinda Novemba 7 – 8, 2022. Katika ziara hiyo, Prof. Chibunda alipokea ripoti ya utekelezaji...Read More
Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda, amewataka wanafunzi wa Kampasi ya Mizengo Pinda kutumia vyema Elimu wanayoipata ili waweze kukabiliana na changamoto ya ajira kwa kujiunga na kujisajili katika vikundi ili waweze kupata pesa na kuendesha miradi ya ujasiriamali kama ufugaji wa nyuki, kutoa elimu kwa jamii juu ya...Read More
The orientation week started on Monday October 24, 2022 with students receiving orientation seminars on various topics such as sexual corruption, citizenship, and respect for the country’s constitution and laws Mr Robert Donah Layaway, an officer from the Office of Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Mlele District in Katavi Region, instructed students on...Read More
Rasi wa Ndaki ya Mizengo Pinda Prof Josiah Katani awataka wakuu wa idara kutimiza wajibu wao. Ameyasema hayo wakati akipokea taarifa za utendaji kazi kutoka katika idara za Uendeshaji na idara za Taaluma za Kampasi hiyo katika kikao cha Wakuu wa Idara kilichofanyika leo tarehe 18 – 10 – 2022. Pia Prof Katani amewataka wakuu...Read More
Timu ya Watumishi wa Kampasi ya Mizengo Pinda yatinga hatua ya fainali ya michuano ya VC CUP baada ya kuitoa timu ya Watumishi wa Tanesco Kibaoni kwa mikwaju ya penati. Wakati nusu fainali ya pili ilipigwa kati ya Watumishi Tamisemi Usevya dhidi ya Watumishi wa Muda SUA – MPCC, mchezo uliomalizika kwa mabao 2–1 na...Read More