Katika picha, aliyeshika chupa za asali ni Dwasi Denis Johnson, mhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Awali ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki. Anatumia ujasiriamali wa bidhaa zitokanazo na rasilimali nyuki, kama asali ya nyuki wakubwa na wadogo, katika maonesho ya Wiki ya Mwanakatavi ambayo hufanyika kila mwaka mkoani Katavi. Maonesho haya yana lengo la kuwakutanisha...Read More