Dr. Florens Turuka Katibu Mkuu Mstaafu aliyehudumu Wizara mbalimbali atembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya

Dr. Florens Turuka amefurahishwa na shughuli zinazoendelea katika banda na kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Chuo na  ametoa pongezi kubwa kwa kazi nzuri inayafanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Thelathini ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya.

Dr. Florens Turuka akisaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane

Dr. Florens Turuka akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya

Related Posts

Jinsi Mradi wa Elimu ya Juu kwa  Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), Unavyochochea Maendeleo ya SUA Kampasi ya Mizengo Pinda

Katika picha mwenye tai nyekundu: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Prof. Raphael Chibunda, akitoa maelezo...

🌟 A CALL FOR SEMINAR 🌟

We are delighted to invite all students to a mandatory seminar to provide valuable insights and guidance on key aspects...