Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Songwe Mhe. Solomoni Itunda ambaye amepata fursa ya kujionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Kampasi ya Mizengo Pinda kutokana na shughuli za ufugaji wa nyuki na kilimo.
Mhe. Solomoni Itunda akisalimiana na Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane
Mhe. Solomoni Itunda akipata maelezo juu ya bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane
Viongozi wengine ni pamoja na Dr Elirehema J. Doriye ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima ya Taifa (NIC Insurance). Mbali na mambo mengine Dr Elirehama alipata fursa ya kupata ufafanuzi wa mambo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wetu waliopo katika banda hilo.
Dr Elirehema J. Doriye akisalimiana na Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane
Dr Elirehema J. Doriye akipata ufafanuzi wa masuala mbalimbali kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Sayansi ya Kilimo Ndugu Elisha Rutha alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane
Dr Elirehema J. Doriye akiagana na Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane
Banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda limetembelewa pia na Mkuu wa Kitengo cha Kilimo kutoka AZANIA BANK Ndugu Augustino Matutu ambaye pia ni mwanafunzi wa kwanza katika kozi ya Agri business inayotolewa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).
Ndugu Augustino Matutu akisalimiana na Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane
Ndugu Augustino Matutu akipokea kipeperushi kutoka kwa Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane