Prof Adolf Mkenda akisaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda katika maonesho ya Nanenane
Prof Adolf Mkenda akipokea maelezo kutoka kwa Ndugu Naftari Leha ambaye ni Mwanafunzi anayetarajia kuhitimu mwaka huu katika Shahada ya Sayansi ya Usimamizi wa Rasilimali Nyuki katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kampasi ya Mizengo Pinda
Prof Adolf Mkenda akipokea zawadi ya asali na mafuta ya alizeti kutoka kwa Naibu Rasi wa Kampasi ya Mizengo Pinda Prof Jeremia Makindara kwa niaba ya Chuo